Mapenzi ya Aika, Nahreel Acha Kabisa "Hata Kesho Tukiamua Ndoa Tunafunga" - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, May 20, 2019

Mapenzi ya Aika, Nahreel Acha Kabisa "Hata Kesho Tukiamua Ndoa Tunafunga"



STAA wa Bongo Fleva, aliye memba wa Navy Kenzo, Aika Mariale amewafungukia watu wanaowashauri wafunge ndoa na mzazi mwenzake Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ ambaye pia ni msanii wa kundi hilo, akisema, kuwa na mapenzi ya dhati kwao ni zaidi ya ndoa. Aika alisema, watu wanashindwa kuelewa kwamba ndoa ni hitimisho la matokeo ya mapenzi ya dhati ambayo kwao yapo, hivyo hawababaiki na ndoa. 
“Unajua watu wanashindwa kuelewa mapenzi makubwa niliyonayo kwa Nahreel, maana hatushindwi kufunga ndoa hata kesho kama tukiamua, watu walijue hilo. Muhimu tuna amani na mapenzi ya kweli, hiyo inatosha na ina maana zaidi kwetu,” alisema Aika

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa