MABINTI WAKITANGA NA MAHABA KWENYEDALADALA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 29, 2019

MABINTI WAKITANGA NA MAHABA KWENYEDALADALA



Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....

Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa.

Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kfkununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha
Hiyo Ndio Tanga Bana Gusa Unate..!!

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa