KWANINI MAHUSIANO YA MASTAR BONGO HAYADUMU?? - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 26, 2019

KWANINI MAHUSIANO YA MASTAR BONGO HAYADUMU??





Waswahili wanasema kila lenye mwanzo halikosi mwisho..

Kauli hii inazidi dhiirika siku hadi siku hata kwenye tasnia ya burudani, ndani na nje ya Bongo..tubaki home maana upepo wa couples kuachana umevuma sana mwaka huu.

Leo nataka nikuletee list ya couples ambazo zimevunjika kwa kipind hiki kifup cha mwaka huu wa 2019

#4 Shamsa Ford na Chidi Mapenz; wawili hawa walikaa kipindi kirefu ktk mahusiano yao na walifunga ndoa na kuweka mahucano yao wazi mwaka 2017.
Ndoa ilionekana perfect..kabla ya tetesi za Shamsa kuchezea kichapo kutoka kwa Chidi, tetesi ambazo Shamsa alizikanusha...
Waliwadhiirshia wabongo love yao baada ya Chidi kumuamn na kumpa usimamizi wa maduka yake mkewe...ila kwa mwaka huu jinamiz limeptaa na wawili hao hawako tena pamoja..chanzo kikiwa issue za uaminifu.

#3 Chuchu Hance na Ray Kigosi; wote kutoka kiwanda cha bongo movie wawili hao wamedate kwa miaka mi3 na mwaka huu fununu za kuachana zilichkua nafasi kubwa na mpaka sasa taatifa zilizopo kitaa ni kwamba Chuchu na Ray hawako pamoja kimapenzi.

#2 Ant Ezekiel na Mose Iyobo; kutoka record label ya wasaf, dancer Mose alifanikiwa kuwin moyo wa bishost Ant Ezekiel kutoka bongo movie miaka minne iliyopita na wawili hao wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike, aliyepewa jina cokie... Mwaka 2019 zilianza fununu tu za watu hao kugombana na mara kuachana kbisa huku Iyobo akiripotiwa kupata chombo kipyaa nje ya bongo.

#1 Vanessa Mdee na Juma Jux; wote tokea bongo flevani...couple isiyo na mambo mengi..na inayopendwa zaidi na wapenda muziki wengi wawili hawa wamedumu miaka mi4 mahusiano yaliokuwa poa mwanzoni lkn ktkt ya mwaka 2017 wawili hao waliachana kbsa kwa mara ya kwanza na wakarudiana rasmi kweny jukwaa la tamasha la muziki la Fiesta mwaka huo huo na had mwaka huu 2019 za chnchn znadai wawil hao hawako Pa1

So far list ni hyo na tutaendelea kukupa updates  hapa hapa...dondosha comment yako kwa mawazo ushauri na maoni

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa