KUWA BABA BORA SIO KUZALISHA NA KUTOA MATUMIZI NYUMBANI TU BALI....... - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 26, 2019

KUWA BABA BORA SIO KUZALISHA NA KUTOA MATUMIZI NYUMBANI TU BALI.......



Kuwa baba sio tu kuzalisha na kutoa matumizi nyumbani,, hata utoe milioni ya pesa utokapo nyumbani bado pengo lako kama baba litabaki,,baba bora ni yule anayejali familia kwa kitoa kidogo alichonacho na kutenga muda wa kuonyesha upendo na furaha yake kwa familia,,,,ewe mwanaume jiulize ni furaha kiasi gani aipatayo mtoto anapocheza na baba yake,,ni furaha ya kiwango kipi aipatayo mke anapoona unamuogesha mtoto,,unamlisha na kama haitoshi unacheza nae kwa upendo,,wanaume badilikeni ishini na familia zenu kwa upendo,amani,furaha,heshima,kusaidiana na kusikilizana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa