KUANZA TABIA MPYA USIZO ZIPENDA KISA MPENNZI NI MATESO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, May 27, 2019

KUANZA TABIA MPYA USIZO ZIPENDA KISA MPENNZI NI MATESO





Wapo watu ambao wamejitoa sababu ya penzi na kuamua kuacha matendo yote mabaya ili kuwafurahisha wenza wao,,,,,ila watu hawa mara nyingi wamekuwa wakiambulia mateso na maumivu makali toka kwa wenza wao,,,,huonekana ni wadhaifu kwa kukubali kubadilika na kama haitoshi muda mwingine huwa wanasimangwa na kuonekana wanaigiza mabadiliko,,,,lakini niamini mimi watu wa aina hii wanaobadili tabia zao kwa akili ya wapendao huwa na upendo wa dhati sana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa