KISA;; HAWA VIUMBE HAWAWEZI KUWA WAAMINIFU - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 26, 2019

KISA;; HAWA VIUMBE HAWAWEZI KUWA WAAMINIFU



Direct kwenye kisa chenyewe.
Kwa bahati mbaya tu nilijikuta namfuma .So huyu Gf wangu niliyeamua kutulia naye (still trial and error) akiwa kwenye romantic gesture na the so called 'her ex'.
Hapo awali kama wiki 3 zilizopita nilishawah kuhisi kuwa anawasailiana na ex wake, ilitokana na jinsi nilivyokuwa nafanya follow up kwenye simu yake, akafuta some text kwenye sms na whatsup akasahau kufuta calls,nikamuuliza huyu mtu anakupigiaga tu na sms hatumi?akajibu alivyojibu basi nikapotezea,maana mimi najijua huwa nikimhisi mtu basi huwa ni kweli, nikapanga kumsuprise kazini kwake( wiki iliyofuata) ili lengo langu liwe ni kuangalia tu zile text za yule jamaa niliyemhisi, nilivyofika nikamcheki akaja nje basi hakupata muda wa kufuta, baada ya story mbili tatu nikaomba simu nipige sehumu basi nikapata na muda wa kukagua text nikakuta niliyoyakuta huko ,nikamrudishia simu yake tukaagana kinyonge.Nikaombwa msamaha jioni yake basi nikamsamehe ila nilishajua hapa nachezewa movie.
Sasa kwa bahati mbaya tu juzi tar 20 /5 kuna sehemu nilienda kufuatilia madai yangu fulani ,mdaiwa alinichelewesha sana from saa 9 mpka saa 1 usiku. I was off mood kabisa, basi nikatoka zangu kurudi mbezi kimara maeneo ya ubungo tu pale nikaona kwa ukaribu kabisa mtu anakumbatiwa ovyo na kushikwa mkono, so i took a short video ya sekunde kadhaa na picha mbili japo zilikuwa faint japo alionekana vizuri(sikutaka kwenda kuliamsha maana sijamwoa)....
Nilipofika nikajiuliza
(i) Yule mtu aliyesema alishawahi kufunga na kuomba kwa ajili ya kuliombea penzi letu lifike mbali ndio yule?
(ii) Aliyeomba msamaha mara nyingi kwa kukosa uaminifu na kuahidi kubadilika ndio yule?
(iii)Kasema kaokoka ndio kunakuwaga hivyo?
Okay. Hiki ndio nilichofanya.Usiku wake nilimpigia simu nikamwambia nilikuona ubungo na ukiwa mtu,akakataa na kukana kabisa.
Basi akawa ananitext sikumjibu usiku na asubuh ya jana....Basi akaja mwenyewe jiooni na kunipa offer ya mwili wake to make-up.
Basi nikaipokea kwa mikono miwili nilivyohakikisha kafika anapokaa basi nikamtumia picha zile namessage ya kibuti na nikampiga block. Sasa anaomba msamaha kupitia simu za marafiki zangu na kwa uncle wangu niliyemtambulisha.
Anadai huyo kijana ametokea Arusha yeye aliamua tu kumpa kampan kama rafiki na mwenyewi wake.
Mida hii naskia yupo mlangoni ananisubiria nirudi,anijui huyu.
Kwanini huwa inakuwa ni ngumu kuachana na ma-ex( Bora demu wako awasiliane na mwanaume mpya kuliko na ex wake)
Ukiwapa nini hawa viumbe watatulia?

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa