KINA DADA AMKENI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 29, 2019

KINA DADA AMKENI




Kama upo kwenye mahusiano na mwanaume kuwa makini,,,,kugeuka kuwa mpenz na kuwa dada wa usafi,,,kwamba anajua kabisa kila mwisho wa wiki utaenda kufua nguo za wiki nzima,,kuosha vyombo na kusafisha nyumba,,kwamba hata usipoenda atakupigia simu uende kufanya usafi na hata kumpikia kama mke wake wakati hajakuoa,,,,,,
Tena kama unamfanyia vitu kama mke wake hata hakuhudumii,,yaani unaenda kupindisha mgongo kutwa nzima lakini anakuacha uondoke hata nauli hakupi,,jua sio tu kakuona dada wa usafi lakini pia anakudharau,,,,narudia sio vibaya kumsaidia mpenzi wako usafi kama unampenda lakini isiwe kila siku na isiwe kama wajibu kwamba hata usipoenda anakupigia simu na ananuna kabisa,,,,,ukiona hujaenda kufanya usafi na ananuna basi jua kashakudharau na wewe sio mpenzi tena bali dada wa usafi,,,,
Hata kama anakupa pesa na kukupa kila kitu lakini kama usipoenda kufanya usafi ananuna NA kukasilika basi jua kashaanza kukuchukulia kama dada wa usafi,,,kumsaidia mpenzi wako inatakiwa kuwa kitu cha kimahaba,,,,kitu ambacho hata wewe unakifurahia na sio kaz ambayo ni lazima uifanye,,,,,najua unabembelezea ndoa lakini kuwa kwake kila siku unamfanyia kazi unajua unaanza kukuboa na wakati mwingine anakuona kama mfanyakazi wake,,,hebu ringa na wewe kidogo basi ajue na wewe una maisha zaidi ya yeye.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa