KAMA UNAMPENDA MTU JITAHIDI KUMTHAMINI KWA JINSU ALIVYO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Friday, May 24, 2019

KAMA UNAMPENDA MTU JITAHIDI KUMTHAMINI KWA JINSU ALIVYO



Kama kweli unampenda na kumhitaji mtu usitumie nguvu kubwa kumbadilisha kuwa kama vile unavyotamani kumuona,,,kwasababu mapenzi yapo na jinsi unavyomthamini ndiyo njia pekee ya kumbadilisha mtu unayempenda katika uhalisia wake kuwa vile unavyotaka kumuona

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa