KAMA UKO KWENYE MAHUSIANO EPUKA KUMFANYA MWENZA WAKO MPWEKE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 23, 2019

KAMA UKO KWENYE MAHUSIANO EPUKA KUMFANYA MWENZA WAKO MPWEKE


Kuna baadhi ya watu huwa ni sababu ya maumivu kwa watu wanaowapenda kweli,,kwasababu kuna muda mwenza wako anakuhitaji muwe pamoja au mpange maisha yenu,,lakini kila muda wewe unatoa visingizio vya kuwa huna nafasi,,
Lakini ikitokea mechi nzuri unayoipenda lazima utatenga muda ili ukaitazame au kwa mwanamke lazima utatenga muda wa saluni au shopping,,
Kama uko kwenye mahusiano jitahidi kumfanya mtu uliyenaye ajutie kwa kuchelewa kukutana na wewe,,,,,jitahidi kutomfanya mwenza wako ajutie maamuzi ya kukupenda maishani mwako

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa