JITHAMINI,JE UPO KWENYE MAHUSIANO SAHIHI AU COMPLICATED RELATIONSHIP - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 25, 2019

JITHAMINI,JE UPO KWENYE MAHUSIANO SAHIHI AU COMPLICATED RELATIONSHIP




Hebu tazama mlipotoka,,,hebu fikiria yote mliyopitia,,tazama pia hapo mlipo sasa na kwenye fikra zako chora pichani kwako wapi mnakoelekea,,,,,je kuna mwanga?au ndo unapotezea muda?unajihisi kabisa upo kwenye mahusiano au ndo complicated relationship?kaa chini jitathmini kwa kina,,,,usiidanganye nafsi yako,,,,,kama kuna kitu unaona hakiendi sawa kubali,,,,ukishakubali sasa tafuta mbinu ya kuondokana na changamoto hizo ili uwepo kwenye mahusiano yenye kukupa furaha na sio maumivu na majuto.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa