JIFUNZE KUMUDU HISIA ZAKO ILI USIENDESHWE NA MAPENZI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

Friday, May 31, 2019

JIFUNZE KUMUDU HISIA ZAKO ILI USIENDESHWE NA MAPENZI

20190326_124716

IMG-20190324-WA0035


Mapenzi ya kweli ni yale ambayo watu huumizana kiasi,,hugombana kiasi,,husumbuana kiasi,,hulizana kiasi,,zaidi ya yote hawa wawili hutumia busara na hekima kufutana machozi na kuruhusu tabasamu kurejea ndani yao na kupanga maisha pamoja,,kusikilizana,,kuheshimiana,,kufanya yampayo amani kila mmoja wao,,zaidi ya yote kila mmoja kuijua thamani ya mwenza wake na upendo wake,,,,HILO NDILO PENZI LENYE NGUVU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad