Jibu la Tanasha Kuhusu Kubadili Dini Kisa Diamond Platnumz - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 19, 2019

Jibu la Tanasha Kuhusu Kubadili Dini Kisa Diamond Platnumz




Mpenzi wa msanii Diamond Platnumz, Tanasha amesema kuwa si rahisi kwa yeye kubadilisha dini kisa mahusiano  ila mapenzi yake na muimbaji uyo pale pale. 
Tanasha amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na Wasafi FM kwa kueleza kuwa kila mmoja anaheshimu dini ya pande zote mbili. 
"Mara ya kwanza nilikuwa na wasiwasi wakati tunaanza uhusiano, Diamond Platnumz ni star na nini. Naheshimu dini yake na yangu pia, sitabadilisha dini lakini mapenzi yatabaki," amesema Tanasha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa