JE WAJUA LENGO LA MPENZI WAKO,,,SOMA HAPA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 25, 2019

JE WAJUA LENGO LA MPENZI WAKO,,,SOMA HAPA



Mahusiano sio uadui au vita bali ni amani,furaha na maelewano,,,,,uadui au vita sio lazima mpigane hadi mtoane damu bali maumivu ya moyo ndo uadui mkubwa na vita isiyo na manufaa kwenye maisha,,
Je,upo kwa ajili ya kuheshimu hisia za mwenzako au kumletea maumivu na majuto?
Upo kama faraja yake au upo kwa ajili ya kumkatisha tamaa?
Je,upo kwa ajili ya mwanga katika maisha yake au unamletea giza na kumrudisha nyuma kila siku?
Wewe uliye kwenye mahusiano jiulize mara kadhaa lengo la mpenzi wako ni nini ili ujue kama upo sehemu sahihi au lah.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa