ISHI NA UMPENDAE KWA MAKINI ILI USIJE MPOTEZA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, May 26, 2019

ISHI NA UMPENDAE KWA MAKINI ILI USIJE MPOTEZA




Sio kwamba hatujui ni watu gani sahihi katika maisha yetu,,,tunajua sana ila tamaa zinatupelekea kuwaudhi na kuwasaliti na tukija kustuka tushawavunja moyo na kuwapoteza na hapo ndipo majuto huanza,,,,,
Ishi na umpendae kwa umakini ili usije mpoteza,,,,umakini uwepo katika kuheshimu hisia zake na usimuumize kwa makusudi,,,,mapungufu,,makosa au changamoto za hapa na pale hazikosekani,,,,,,ruhusu upendo wenu ndo uwe chanzo cha maelewano na hakikisha mwenza wako anafurahia uwepo wako katika maisha yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa