HEMEDI PHD "NINGEKUWA NA MZUKA NA MADEMU WA BONGO MOVIE NINGEKULA WOTE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 23, 2019

HEMEDI PHD "NINGEKUWA NA MZUKA NA MADEMU WA BONGO MOVIE NINGEKULA WOTE



MSANII wa filamu za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amefunguka kuwa hajawahi kumshobokea staa yeyote wa kike ndani ya Bongo Muvi na hatafanya hivyo. Staa huyo, alisema wanawake wengi wanafikiri kuwa anaringa na kujisikia lakini ukweli ni kwamba hajaona wa kutoka naye Bongo Muvi ndiyo maana anawapigia kimya.

“Hili nalisema kila wakati, ningekuwa na mizuka na mastaa kwa kweli ningetembea nao wengi, lakini mimi sitaki kwa sababu bado sijaona wa kutoka naye… cha msingi nafurahi tayari nina watoto wangu, hilo nashukuru Mungu,” alisema Hemed.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa