HAYUPO MWANAUME MASIKINI MBELE YA MWANAMKE...... - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, May 23, 2019

HAYUPO MWANAUME MASIKINI MBELE YA MWANAMKE......



Ukweli ni kwamba kama utapata mwanamke mcha Mungu ni rahisi kukuombea kwa Mungu ili akubariki katika kila kitu unachokifanya,,
Hakuna mwanaume masikini ambaye atapata mwanamke mcha Mungu,,anayempenda kwa dhati,,anayemtia moyo kipindi cha karaha,,anayejua kumuamini katika mazuri atakayofanya au anayofanya,,
Pia kama anakupenda kwa dhati lazima atakuwa na wewe bega kwa bega katika furaha yako na huzuni yako pia,,
Ikiwa mwanamke anaamini katika yote ufanyayo kama mwanaume NI lazima utafanya yale yote kwa ukubwa ili usipoteze tumaini lake kwako

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa