HATUA YA UCHUMBA INA MAMBO HAYAA - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Wednesday, May 22, 2019

HATUA YA UCHUMBA INA MAMBO HAYAA






Wengi najua tunapenda kuona wakati mnapo tambulishana kama wachumba kwa wazazi,,,,lakini nataka nikukumbushe kuwa,,,pindi unapokuwa katika uchumba jua kwanza,,wazazi wa mpenzi wako pamoja na ndugu ndo wakati wao kukusoma tabia na MWENENDO wako,,,maana hata wale hawakukujua ndo wakati wao wa kutaka kukujua,,,katika kipindi hiki unatakiwa uwe wewe kama wewe,usitake kufanya mambo ambayo yapo nje na uwezo wako ili kuwafurahisha,,,,pili jitahidi kuwasiliana na mpenzi wako na kuhakikisha mnakuwa na nia moja na kusimamia malengo yenu,,,maana wakati huu washauri wengi hujitokeza,,na mambo mengi huibuka,,sasa msipokuwa na msimamo,maneno wa watu na ndugu yatawaharibia,,kumbukeni maisha ni ya kwenu,maadamu mnaelewana na kusikilizana,jitahidini kusimamia malengo yenu,,Tatu jitahidini kumuomba Mungu ili atangulie safari yenu,,ili maisha yenu yaambatane na baraka zake,,

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa