HAKUNA KITU KIZURI KAMA KUPENDWA NA MWANAMKE ANAEJUA THAMANI YAKO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Saturday, May 18, 2019

HAKUNA KITU KIZURI KAMA KUPENDWA NA MWANAMKE ANAEJUA THAMANI YAKO





Wekeza zaidi kwa mwanamke anaejua thamani yako na mwenye huruma na wewe,,,mwenye kujua thamani ya penzi lako ndani ya moyo wake,,,mwenye kuthamini ulichonacho hata kama ni kidogo au kikubwa,,,mwanamke wa aina hii ndie ambae hatokutupa hata katika kipindi kigumu cha mpito wako,,,mheshimu sana mwanamke wa aina hii maana katika dunia yetu ya sasa hivi ni wachache sana wanawake wa aina hii.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa