AMINI USIAMINI!! WANAUME HUOGOPA AINA HII YA WANAWAKE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, May 28, 2019

AMINI USIAMINI!! WANAUME HUOGOPA AINA HII YA WANAWAKE



Wanaume wengi "wa kiume" wanawaogopa wanawake wenye akili kuwazidi au waliowazidi kipato.
Ndo maana kila siku unaskia wanaume wanalalama kwamba mwanamke akikuzidi elimu au kipato anakua jeuri sana.
Si kweli kwamba wanakua jeuri kwasababu hiyo. Jeuri ni tabia ya mtu aliyotoka nayo utotoni kwake (lakin unaweza kumsaidia kui-neutralize ukubwani pia).
Mara nyingi kinachotokea ni kwamba wanaume wengi wanaamini wao ndo wanapaswa kuwa juu ya wanawake kwa kila kitu..
kwahiyo ile tu fikra ya kwamba amezidiwa kielimu au kifedha na mwanamke wake inamtia hofu na kumfanya ajihisi inferior... na hii inferiority complex ndo inamfanya muda wote ahisi kwamba anadharauliwa au anapelekeshwa na mwanamke wake.
Na kwakua ni tabia ya mwanadamu kutafuta justification hata pasipostahili ili tu ajiskie vizuri, basi mwanaume anaishia kusema "huyu mwanamke ananidharau kwasababu amenizidi kielimu au kifedha".
Of course wapo wanaume wanaopelekeshwa na wanawake wao, na SIO kwasababu wamezidiwa elimu au kipato.. ni kwasababu mwanaume huyu alikosea aidha mwanzoni kabisa mwa mahusiano yake au somewhere along the way, akampa mwanamke wake nafasi ya kuwa Adam na yeye (mwanaume) akachukua nafasi ya Hawa! Na hapa sizungumzii pesa wala elimu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa