UPENDO NI TABIA HAULAZIMISHWI - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, April 28, 2019

UPENDO NI TABIA HAULAZIMISHWI



Upendo ni tabia,,,,,usithubutu kutumia nguvu kumfanya mtu akupende,,,,au afanye mazuri kwako,,,,,tabia hujengeka na huonekana kwa vitendo,,,,ni vizuri unapoanza mahusiano na mtu usitumie nguvu nyingi katika KUMSHAWISHI maana kama ni tabia ambayo MUNGU AMEWEKA NDANI YAKE ATAKUPENDA NA MTAPENDANA.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa