NDOA SIO KIPIMO CHA MAFANIKIO - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, April 28, 2019

NDOA SIO KIPIMO CHA MAFANIKIO





Wanawake wengi hufikiri ndoa ni sehemu ya mafanikio,,,,,imekuwa jambo la kawaida kwa wanawake kufikiria ndoa wawapo kwenye mahusiano na kusahau furaha na upendo,,,,,ndio maana wanaume huchukua jambo hili kama sehemu ya kuwakamatia wanawake,,,,,hapo ndipo mwanamke unaanza kulalamika kuwa alikuambia mtafunga ndoa kumbe hiyo ilikuwa njia pekee ya kukupata,,,,KABLA HUJAFIKILIA NDOA FIKIRIA JAMBO HILI,,JE KUNA UPENDO WA DHATI KATIKA MAHUSIANO HAYO,,JE UNAFURAHIA MAHUSIANO YAKO,,UKIPATA MAJIBU YA MASWALI HAYO NDO ANZA KUFIKIRIA NDOA.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa