MPE HESHIMA KAMA HASTAHILI MUACHE - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, April 29, 2019

MPE HESHIMA KAMA HASTAHILI MUACHE




Habari yako msomaji wangu,,, natumaini upo salama,,,naomba pia nigusie jambo hili ambalo limekuwa kichwani kwa watu sana,,,,,kuna siku yule unayemuumiza kwa kuwa unajua hawezi kukuacha kisa anakupenda,,,,,akija kufanya maamuzi hutokuja kuamini kama ni yule yule uliyekuwa unafanya lolote unalotaka bado akakupa heshima na kukupenda pasipo kuchoka,,,,,mpe heshima kama hastahili muache,,,,mpunguzie maumivu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa