Habari yako msomaji wangu,,,, leo nataka niseme hili,,,katika maisha ya mahusiano,,,,kuna wakati unapitia kipindi kigumu sana na mambo mengi sana,,,,na katika yote hayo Mungu huinua mtu wa kwenda pamoja na wewe,,,,,ni muhimu kujua mchango wao na upendo wao kwako utakapokuwa katika kipindi kigumu,,,,,,na ukafika wakati wa amani na furaha,,,usiwasahau,,,,,jifunze kuwaheshimu kwa muda wao walioutumia kuwa na wewe na hata kukuombea,,,,ni bora ukakumbuka hili litakusaidia.
Saturday, April 27, 2019
Home
Unlabelled
KUJALI NI KITU MUHIMU ZAIDI HESHIMU WANAOKUJALI

About neemasayi
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment