UUME WA SIZE GANI HUFAA KUMKUNA MWANAMKE? - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Tuesday, March 26, 2019

UUME WA SIZE GANI HUFAA KUMKUNA MWANAMKE?





Kwa kawaida urefu wa uume ambao haujasisimuka kwa wastani ni kati ya sentimeta 7 na 10, na uume uliosimama ni sentimeta 13 hadi 18. Si lazima kwamba maumbile ya mtu yawiane na viungo vya uzazi.


Na vile vile katika kujamiiana, jambo la vipimo vya uume si la msingi. Kilicho muhimu ni afya nzuri ya watu wote wawili na kupendana kwao wenye uhusiano.

Urefu wa uume si muhimu, kwa sababu sehemu nyingi zinazomridhisha mwanamke haziko ndani ya uke. Kuridhika au kutoridhika wakati wa kujamii ana hakutegemei urefu wa uume!

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa