UKIAMUA KUWA NA MAHUSIANO NA MUME WA MTU LAZIMA UKUBALIANE KUWA MTUMWA WA MAMBO YAFUATAYO:, - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, March 11, 2019

UKIAMUA KUWA NA MAHUSIANO NA MUME WA MTU LAZIMA UKUBALIANE KUWA MTUMWA WA MAMBO YAFUATAYO:,

1.Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu

2.Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa

3 Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao

4..Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua

5.Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife

6.Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa

7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi

8.Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini.. ,nilikua na mke wangu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa