Nimeolewa nina watoto wa 2, Mume wangu hunitamkia maneno yanayoumiza sana. - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, March 10, 2019

Nimeolewa nina watoto wa 2, Mume wangu hunitamkia maneno yanayoumiza sana.


Nimeolewa nina watoto 2, mume wangu anapenda kuongea maneno ambayo yananiumiza, kama nimeshakuzalisha sikutaki tena natafuta mpenzi mwingine, najuta kuwa na wewe kuna wanawake warembo zaidi yako. Mume wangu huyu ni mtu mzima 50's na mimi 20's anavyotamka naona anamaanisha nikifikiria mtu mwenye umri wake anajua kitu anachokitaka. Nafikiria kwenda mahakamani kudai talaka. Je, nakosea ?

Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI





from UWANJA WA MAPENZI https://ift.tt/2SXswBK

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa