Madhara ya kumnyima mwanaume Naniliu.. - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Sunday, March 3, 2019

Madhara ya kumnyima mwanaume Naniliu..

KWENU WANA NDOA>>>Hakuna mtu wa thamani kwako hapa duniani kwa muda
huu kama MMEO/MKEO. Yeye ni shujaa na jasiri kuliko mwanaume/mwanamke yeyote unayemfahamu chini ya jua. Huyu amefanya maamuzi makubwa na ya imani, amewaacha wazazi na ndugu zake anaowajua tabia na maisha yao halafu akaamua kuja kuishi na wewe, mtu baki, usiye wa damu moja naye, usiye na vipaumbele sawa naye, usiye na mipango sawa naye. Akaamua kuua personal interest zake ili mradi awe na wewe na muanzishe interest, goals, dreams n vision za kwenu wote. Hii ni SADAKA KUBWA awezayo kutoa mwanadamu, ‘KUJITOA KWAKO’…Usidhani wewe pekee ndiye ulimwona, wako wengi walimtaka, tena wengine walikuwa wamemaanisha kuliko wewe. Wako hata ambao kwakweli wanampenda na kumthamini kuliko wewe. Lakini wote hao kawaacha, kwa UPENDO WA AJABU kaja kwako. Na mara hii umeyasahau yote haya,unamlinganisha na mama/babako.Kama unadhani mama/babako ni bora kuliko mke/mme wako, basi ungemwoa/ungeolewa na mama/babako. **MPE MMEO/MKEO HADHI YAKE, acha utoto! **

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa