Hizi hapa sms nzuri za kumtumia mpenzi wako ili azidi kuongeza upendo juu yako - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Monday, March 4, 2019

Hizi hapa sms nzuri za kumtumia mpenzi wako ili azidi kuongeza upendo juu yako


Masika ndiyo hiyo imewadia, baridi nalo ndio limenichachia, mpenzi lini waja joto kunipatia? Mwezio naumia! · Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangu mtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tu mwenye thamani kwangu katika hii dunia. ·
Wikiend ndiyo siku niliyokuwa nikiisubiria mimi nawe mpenzi tupate tulia, mahaba na maneno matamu ndio zawadi niliyokuandalia. Kumbuka yetu miadi na jali wakati! ·
Kila siku mimi ni mtu wa kulia, ipo siku uvumilivu utaniishia, hivi ni kwa nini hutaki kutulia na kila kitu nimekupatia, wewe wehuka na hao wanaokupapatikia, lakini utaja jutia siku ikiwadia. .................
 · Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana, sasa nafsi yangu ishasema hapana, namuomba Maulana akujalie kheri na afya njema daima, kumbuka nilikupenda sana. ................. ·
Najua unanipenda lakini nataka kwenda sasa ni miaka kenda, ndoa wazidi ipiga kalenda, sioni sababu ya kukutenda ndio maana nataka kwenda! I will miss u. ................ ·
Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo huhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako, nakupenda mpenzi. .................. ·
Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba, napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupa mahaba yanayozidi shaba. Nakupenda. ................. ·
Kina ninapokukumbuka machozi yanidondoka, hivi leo mwana wa mwenzio ninaumbuka kwa kuparamia mapenzi kwa pupa, ukweli nakupa, hivi sasa najuta! Nisamehe mpenzi. ...................... ·
 Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wakwe zangu, unajua ni kwa nini? Ni siku waliyokuleta kwenye hii dunia, happy birthday mpenzi! .................. ·
Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitoto na zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto, nahitaji uwe wangu mama watoto! .................. ·
Hakika najutia nafsi yangu kukupatia mwanaume kiruka njia kila mwanamke wewe akuvutia, nguo shuruti wataka akuvuliye, katu penzi sitakaa nikupatiye. ....................
nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyo wangu mahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendo lkn kwa msamaha wa raisi mapenzi nmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapo daima milele. nakupenda mpz

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa