RIWAYA: MAISHA YANGU YA UVUVI SEHMU YA KUMI NA SABA 17 - UHONDO KITANDANI

Hot

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa

Thursday, January 23, 2020

RIWAYA: MAISHA YANGU YA UVUVI SEHMU YA KUMI NA SABA 17





ENDELEA……..

Baada ya Salha kuamka alinikuta mimi nikiwa kwenye utupu wangu nikimkodolea macho kama panya aliyebanwa na mlango. Sikuwa mtu wa kawaida kabisa kama inavyotakiwa kwa wengine kwani nilijihisi kama mnyama kabisa. ‘Mnali unatakla nini naa! Mbona uko hivyo sasa’ alikuwa anaongea lakini sikuwa namsikiliza kabisa nilichofanya ni kuendelea kuushikilia ule mguu wake na mimi nikiwa kwenye hali mbaya ya kutaka kumuingilia kimwili dada wa watu.
Mpaka dakika kadhaa zilizopita hakika nilifanikiwa kumvamia na kumsaula kila kitu, lakini kwa upande wake hakuonyesha pingamizi yeyote kwangu Zaidi ya kugugumia kama mtu ambae anaonea hali kuwa anajua nini kinataka kuendelea na yeye ndie mhanga mkuu. Mpaka muda wa dakika kama kumi tayari nilishaweza kuingia langoni mwa dada Salha na kumfanya yeye akihemea juu juu. Kutokana na mwili wangu kuchemka damu kwa kasi sana misuli yangu ya kila eneo hasa ile ya kiumeni iliweza kusimama barabara mpaka Salha alilalama Zaidi.
Nakumbuka nilitumia muda wa masaa kama mawili kamili bado sijatoka kwenye mwili wa Salha hadi pale alipofanikiwa kuniondoa nay eye kukimbia kabisa kupitia mlangoni. Binafsi nilikuwa bado kabisa na ndio kama mchezo ulikuwa unaanza vile. Kama dakika kadhaa hali yangu ilinitowerka na mimi nikawa nimeishiwa nguvu kabisa ya kufanya jambo lolote hata ile ya kusimama sikuwa nayo kabisa. Hadi kufikia hapo nilipatwa na usingizi na nikalala kabisa fofofo!.
Nikiwa usingizini Napata kuota ndoto mbaya sana ambayo iliweza kunikumbusha baadhi ya mambo Fulani ambayo yalipita kipindi cha nyuma. Niliweza hata kumkumbuka mke wangu Mama Asante hata yale yote ambayo yaliweza kupita, niliweza kukumbuka pia bwana Paul na wale vijana wake ambao walifanya njama zote za kuniondoa duniani lakini iliweza kushindikana. Nilikumbuka pia hadi kule kisiwani ambako wale vibwengo vilinidhuru na kunifanya niwe kwenye hali kama hii ambayo hata sasa Napata nayo tabu sana.
Niliamshwa na dada mfanya kazi wa mule ndani na baada ya kuamka niliweza kushtuka sana na kuanza kuvuta taswira ya mambo mengi sana lakini kati ya hayo yote nilikumbuka tu jambo moja kuhusiana na ile ndoto ya usiku wa manane. ‘kaka, samahani kuna tatizo dada anakuita chumbani kwake’. Nilipatwa mshangao sana kuitwa na Salha ‘kunas tatizo gani ambalo limejitokeza huko?’ nilimuuliza kama mtu ambae sikuhitaji usumbufu wowote ule kwa muda ule.
‘hapana sijafahamu nini ambacho anakuitia ila kaniambia fanya haraka nenda’ Basin na mimi niliweza kuinuka na kuanza kuvuta mguu mmoja hadi mwingine, japo nguvu sikuwa nazo lakini nilijitahidi sana kutembea hivyohivyo lakini hofu kubwa ambayo niliyokuwa nayo ni ile ya mimi kuitwa chumbani kwake. Nilipofika mlangoni nilisimama kisha nikawa nasikiliza kwa makini sana kuna jambo gani ambalo linaendelea, Salha ni mwanamke ambae anafanya kazi hospitalini lakini yeye ni kama daktari tangu anichukue kutoka hospitalini kwenye mikono ya polisi sikuweza kumhoji Zaidi kuhusiana yeye na ile nyumba pamoja na maisha yake kiujumla.
Nilipokuwa pale mlangoni niliweza kusikia sauti za mwanamke zikiugulia kama mtu ambae anaumwa malaria yaliyopanda Zaidi, niliogopa kiukweli nilizidi kusikiliza kama labda kunaweza kuwa na mwanaume ndani humo wakiwa wanafanya yao lakini hapana, nilivuta pumzi na kuingia ndani humo na kumkuta akiwa anatetemeka sana. ‘Salha vipi lakini kuna tatizo gani’. Nilimuuliza swali ‘khaaa! Ina maana hujui ulichonifanyia au’. Hapo nilishtuka sana kuwa sikumbuki niliyomfanyia jana usiku? ‘Hapana kabisa Salha kiukweli sikumbuki nini ambacho kimetokea lakini?’ Salha nilimuona akitokwa na chozi pasi na kujua nini ambacho nimemfanyia kutoka ana madai yake.
‘Salha kiukweli8 unanichanganya kabisa kwa sababu sifahamu chochote kile hadi sasa’. Ghafla anakuja yule binti mfanya kazi baada ya kusikia mlango ukigongwa nay eye kuruhusiwa kuingia ndani ‘Dada samahani jikoni hakuna nyama’ nilishtuka kidogo ‘Wee hakuna nyama kivipi wakati nimeleta jana tu hapa kwenyeb lile friji hakuna lile jeupe?’ ‘hakuna ilaaaa…!’ ‘Niniiii’ Nimeona tu kama kuna nyama zilizodondoka pale chini sijui ni panya au nini’. Mpaka pale nikaishiwa pozi, niliamua kukaa kimya tu bila hata kusema chochote kile.
Nilimuona Salha akinitumbulia macho kisha akamgeukia tena yule binti na kumuuliza ‘Ina maana humu ndani wameingia panya au lakini toka kwanza nakuja nina mazungumzo hapa’ Aliondoka kama alivyoelekezwa na akatuacha wawili mule chumbani. ‘Eheee! Hivi Mnali kaka angu wewe ni mtu wa aina gani’ swali lake nilishindwa kumuelewa kwa nini aulize mimi ni mtu wa aina gani na wakati ananiona kuwa ni wakawaida sana ‘sijaelewa kwa nini unauliza ilo swali’. ‘Kwa sababu jana usiku jambo ulilonifanyia kiukweli sikuwa kulipata tangu nizaliwe na nimjue mwanaume hakika mpaka hapa sasa siwezi hata kusimama vizuri hata kama nikisimama nadondoka nimeshiwa na nguvu kabisa ndio maana nikamuomba huyu binti anichemshie hata supu kidogo.
‘Akuandalie supu..jana nilichokufanyia hakuna hata mwanaume ambae alishawahi kufanya jambo hilo mh! Inawezekana vipi kwa mimi kufanya hivyo sijakuelewa hata’. ‘ok! Ebu yaache kwanza hayo nina jambo lingine nataka kukuuliza, ulisema kuwa kwenye kazi zake za uvuvi ulishawahi kukutana na matatizo mengi sana likiwemo kuingia kwenye Kisiwa ambacho kilikufanya upate matatizo mengi sana likiwemo….’
Nilimziba mdomo asiendelee kuongea ‘Ebu kuhusu hayo mambo ebu niache kwanza maana kiukweli mambo ni magumu na sitamani tena kusikia kule ilaa nahitaji kuona familia yangu iliko je? Unaweza kunirejesha kule ambako nilikuwa naishi’. Nilimuona akiinuka kwa tabu sana huku akiwa kashikilia kanga kwenye ukingo wa kifua chake. Nilijihisi niko tofauti sana kutokana vile ambavyo alikuwa kavaa. ‘dada samahani kama unataka kuamka tafadhali naomba nitoke kwanzatutakuja kuongea baadae ukiamka’. Nilimuona akizidi kuinuka kwa shida na alivyokaa tayari ndipo akaniambia ‘khaa! Wee mnali mbona unanichekesha na jana usiku ulivyoniingilia hukuniona mwili wangu? Eeeh! Au ndio kujishebedua tu hapa’.
kila jambo ambalo alikuwa analiongea pale nilikuwa naona kama ananitania tu, sikuwa namuelewa, ‘haya! Nakuomba kuanzia sasa uachane na kazi zote za Uvuvi nataka nikupe biashara na ikiwezekana mimi na wewe tuoane na tuzae watoto’. Nilijihisi nahamaki baada ya kusikia swala la mtoto ndipo nikaja kukumbuka kuwa nina kamtoto kangu kanaitwa Asante jamanii akili yangu ilibadilika palepale na kuanza kutaka kuondoka pale ndani na kwenda kumtafuta mwanangu Asante. ‘Salha hapana nimemkumbuka mtoto wangu Asante hapana naomba nikamtafute mwanangu ile ni damu yangu’, khaaa! Mnali ina maana una mtoto wewe? Aliuliza ndio nina mtoto na tangu nipate matatizo sikuwahi kumuona tena mpaka leo hii nakuja hapa hivyo nahitaji kumuona mwanangu. Ajabu Zaidi kama unavyowajua wanawake baadhi yao kama huyu Salha akaanza kununa. Salha nakuomba haraka sana unipeleke nyumbani kwangu nikamtafute mwanangu, nilivyomuona kuwa hanijibu ndipo nikasimama kwa hasira na kutoka mule chumbani Mnaliiii unaenda wapi bwana ebu njoo hapa, sikutaka hata kumsikiliza niliingia kule chumbani kutafuta nguo zangu lakini sikuzipata, niliamua kurudi tena kule chumbani huku nikiwa nimefura kwa hasira kama mbogo aliyekoswa na mshale.
Salha nguo zangu umeziweka wapi?, Nguo za nini?, nataka kuondoka, nilimuambia bila hata kumuogopa kwa kuwa nimeshaanza kukumbuka tayari familia yangu. ‘Ebu kaa kwanza hapa mimi nitakupeleka huko kote ambako unahitaji kwenda lakini kaa tuelewane, hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Nilitulia kabisa na kukaa chini kabisa huku nikiwa nimekunja sura. ‘Mbona unakaa chini sasa njoo hapa kitandani tuongee vizuri, aliendelea kunihimiza mpaka pale niliposimama na kwenda pale kitandani huku nikiangalia pembeni.
‘Nakuomba kwanza unieleze vizuri kuhusiana na huyo mtoto wako’. Sikutaka hata kusubiri nilianza kumhadithia mwanzo mwisho mpaka pale ambako niliweza kuishia, kutokana na matatizo ambayo nilipitia nilijikuta naanza kulia pale nikikumbuka mke wangu ananidai talaka na kunimwagia maji ya ukoko wa ugali hapo nilianza kutoa chozi mpaka Salha akanifuta huku akinibembeleza na kunikumbatia, nilikumbuka kuwa huyu ni mwanamke ambae kanisaidia lakini simfahamu vyema hivyo nilimuomba akae mbali kidogo na mimi ili nipate kumhoji kwa undani Zaidi. Salha najua kuwa umenisaidia sana tangu pale nilipokamatwa na polisi hadi kufika kule hospitali na kukutana na wewe hadi leo hii tupo pmoja kama hivi ila nakuomba unieleze kwanza wewe ni nani hasa na unaishi na nani hapa kwako, Salha nilimuoana akiwa kaka kimya kwa muda kidogo kisha akaanza kucheka pale.
Najua kuwa una shaka na mimi, ni kweli kama bahati kwani hata mimi sikuwahi kuwaza kukusaidia ila kutokana na matatizo yako ambayo ulinihadithia nikajiona kuwa natamani na nahitaji kukusaidia ndipo nikaweza kuongea na wale polisi na kukutoa kinyemela kama vile, ila kuhusuu mimi maisha yangu hapa bado mapema sana kujua ila ipo siku utakuja kujua tu’.
Salha hapana hapa siwezi kukubali basi niache niende kwangu mimi nashukuru kwa msaaada wako nikiw na shida tena nitakuja kukufuata ili unisaidie, nilijiona mtu mwenye hasira pale niliposimama na kuanza kubwata mule chumbani, nilikuwa nimevaa bukta tu iliyoishia kwenye ,magoti yangu nikaona isiwe kesi nilitoka na kuingia chumbani kule nikatafuta na kubahatisha kukuta shati na surali aian ya jinz na wakati nilishazoea suruali za mtepweto ambazo sikujua zilikuwa za nani nilichojua ni kuvaa na kutoka kwa hasira, nafika mlango wa kutokea nje umefungwa kila nikifungua haufunguki. Nikajua hapa sasa nimekamatwa leo nilipiga hatua kwenda hadi kwa Salha kumuomba tena ruhusa niondoke. ‘Salha nakuomba labda unanidai shingapi nikupe?’ nilimuuliza kwa ujasiri nikiamini kuwa hatoweza kutaja gharama kubwa, Nilimuona akichezesha vidole huku akisimama na nguo yake ile palepale aliiachia na kubaki kama alivyoletwa duniani asiee nilijiziba uso nisione kwa kuwa nilikuwa namheshimu japo sikukumbuka usiku nilimfanyia nini. ‘Sikiliza ukitaka uondoke humu sharti ulifanye hili ambalo nataka ulifanye, Lipi hilo nifanye sasa hivi maana unajua nampenda sana mwanangu ebu kama nimekukosea naomba unisamehe sana nitaenda baharini nikivua na samaki ambao nitawauza nitakuja kukupa wewe hiyo ela. Mnali usijidangwanye ela nilizotumia kukuhudumia wewe na kukutoa mbele za mapolisi mpaka sasa huwezi kuzilipa kamwe labda kama unafanya kazi kwenye mgodi wa madini. Khaaa! Ngoja kwanza Salha nilipofika hapa nilikuwa na boksi langu kama sanduku dogo liko wapi? Khaaa! Lile kuukuu haliwezi kukaa ndani humu tumeshalitupa tayari nje kwenye taka na sijajua kama gari la taka halijachukua litakuwa huko, Mamaaa yanguuu Salhaaa unaniua hivihivi kwa umasikini mwenzako unajua wapi mimi nimelitoa lile Sanduku jamani eeeeh!.
Sanduku lina nini lile na wewe eeeh!, basi ushaanza kuwa chizi sasa Ebuu Naaaaa njooo mfungulie huyu aondoke zake hapa anatuletea mambo ya ajabu eti kisa anataka kuondoka haya nenda zako huko lione kwanza na usirudi hapa, Nilimpuuzia lakini bora mimi niondoke pale nikaanze maisha yangu binafsi, Mlango ulifunguliwa ndipo nikaanza kuingia chooni kwanza kisha nikawa narudi, nilipitia pale jikoni kidogo kwa kuwa njia nihiyo moja ya kwenda chooni. Nilipofika pale jikoni niliona friji likiwa tupu ndipo kumbukumbu ikanijia kama nilishawahi kufika pale muda Fulani, kichwa kilianza kunigonga kwa nguvu sana huku nikitetemeka na mdomo kuanza kuwa mchachu nikitamani nyama tena, aisee ndipo nikaupata mkanda mzima kuwa niliyafanya mimi yale na yule binti wa watu nilimuingilia mimi bila hata kujijua kwa kile ambacho nakifanya.
Nilijikongoja kwa kulazimisha hivyohivyo na sikutaka hata Salha au yule mwingine afahamu kama mimi nimepatwa na nini. Mnalii wewe unaenda wakati uko kwenye hali hiyoo rudi kwanza haraka jamanii usiondoke dada! Anatapikaaa huku’ yule binti aliongea wakati huo mimi nakaribia geti ukweli nilianza kutapika zile nyama mbichi za jana nikafungua geti hata kabla mlinzi hajafungua, mlinzi alinijia akiwa anafahamu kuwa mimi nimefanya uhalifu hivyo akataka kunizuia kwanza lakini huwezi amini hata nilichomfanya sifahamu huko nyuma yangu maana alipokea ngumi takatifu hata yeye mwenyewe alikoma kwa nini alinisogelea.
Safarai yangu nilitembea lengo niwe mbali na ile harufu ya nyama kwani ile hali ikinianzia tu. Harufu ya nyama naipata umbali mrefu sana. Mpaka pale nilipofika na ile harufu ikakata ndipo hali yangu ikakata kabisa. Nilianza kukosa nguvu sana maana hali yangu ilizidi kuwa mbaya nikatafuta sehemu ili niweze kutulia kwa muda kisha nitafute wapi niende. Katika pitapita yangu kwa bahati nzuri nikakutana na Musa akiwa kwenye gari yake ndipo akasimama na kufungua mlango na kunijia pale. Mnalii vipi uko hapa bwana unafanya nini?, nilimueleza shida yangu japo najua kuwa yeye na rafiki yake wote ni wanafiki na ndio ambao walifanya jitihada kutaka kuniua kabisa kule baharini. Alinisogelea hadi pale nilipo kwa mara nyingine kisha akaanza kucheka kwa dharau sana hakika iliniuma kiukweli maana sikupenda kitu ambacho kanifanyia, kwa hiyo unanicheka baada ya kukuhadithia yaliyonipata ulikuwa una maana gani sasa kuniuliza swali kama hilo?, lakini Musa alizidi kunicheka sana. Tatizo mnali unajifanya kujua sana ona sasa wenzako bwana Paul aliturudisha tena na katununulia gari kila mmoja twende basi maana sasa hivi mwenzetu ni muathirika wa gonjwa la UKIMWI unahitaji msaada wa mawzo pia si kukaa mpweke kama hivyo usije kufa hapa.
Nilimuangalia tu basi kisha nikampungia mkono aondoke zake nilichoamua ni kusimama pale taratiibu kisha nikaongoza njia kubwa na kuanza kuchapa rapa mdogomdogon pale. Mnaliii! Hakika wewe ni Mzimu ila bwana Paulo akikusikia kama upo mpaka sasa na umemkatalia kumfanyia kazi zake hakika atakumaliza kabisa ni bora ukamuombe msamaha mapema tu kabla’. Nilimpotezea kwa ule upuuzi ambao alikuwa anauongea , sikuupenda hata kidogo kuusikiliza. Mawazo yangu yalizidi kupaa na kujiona tayari mimi si binaadamu kabisa, lakini mawazo mengine yaliyonijia ni kuhuusiana na kile sanduku langu dogo ambalo Salha anadai kuwa kalitupa kwenye taka sikuwa naamini kama kweli kalitupa maana nilimtilia shaka sana yule dada.
Kidogokidogo nilitembea hadi eneo moja ambalo kidogo kuna polipoli na watu ni mara chache sana kuweza kupita hivyo niuliamua kujiegesha pembezoni mwa barabara na kutaka kutoa haja ndogo, lakini ilinishangaza sana maana ilishindwa kutoka kama kawaida yake Zaidi ilikuwa inatoka huku nikiwa na maumivu makali sana nilijiuliza kwa nini iwe hivi hata pale nilipoipata haja ndogo mwishoni nilitokwa na damu jambo ambalo lilizidi kunishangaza sana. Nilitembea Zaidi hadi pale nilipoona kuwa naipata ile hospitali ambayo mwanzo nilipelekwa kule. Kuanzia pale ndipo nikapakumbuka nyumbani, safari hii ilikuwa majira ya jioni baada ya mwendo mrefu sana nilitembea mpaka miguu yangu ikawa inauma kwa kweli lakini shida siku zote humfundisha mtu namna ya kufanya.
Mpaka majira ya saa moja jioni nafika kwenye kibanda changu lakini ndani hakuna ambacho nakikuta, mlango wangu umeondolewa na kila kitu cha thamani mule ndani kimeondolewa na watu ambao sikuweza kuwafahamu kwa kuwa sikuwa hapo kabla. Nakumbuka siku ambayo natolewa pale watu walikuwa kwenye harakati za sherehe nyumba ya karibu pale hivyo nadhani ndio walitumia njia hiyo sasa mimi kunimalizia kila kitu. Nilijipa moyo kuwa mwenyezimungu yupo na atanisaidia kila ninalotaka kuomba na nitafanikiwa sitokata tamaa kabisa. Maamuzi ambayo niliona kuwa ni ya busara kwa haraka hiyo ni kwenda kwa mjumbe wa pale nyumbani kumpa ile taarifa. Nilipofika kwa kiongozi kwanza alishtuka kisha akaonyesha wasiwasi na mimi. ‘Mzee nimekuja kwako kuomba msaada nyumba yangu tangu niondoke tayari imeharibiwa na vitu vyangu vyote vimeibiwa sijui naishi vipi, Nilimuambia kiongozi huyo. Sasa kijana kwanza taarifa zako hapa zilizotufikia kuwa wewe umekufa tangu miezi kadhaa nyuma iliyopita lakini juzijuzi nikapata taarifa kuwa umerudi lakini sikupata bahati ya kukuona kwani tayari ulishapelekwa kituoni kwa uchunguzi Zaidi sasa nashindwa kukuelwa nah ii taarifa. Nilishtuka kuambiwa kuwa mimi nimetangaziwa kuwa nimekufa, lakini ni nani ambae katangaza kuwa mimi nimekufa na kwa nini iwe hivyo?’ kuna tajiri mmoja ambae alidai kuwa ulikuwa unamfanyia kazi ya kumvulia samaki lakini mwisho wa siku ulivyokwenda baharini hukurudi kabisa hivyo akatangaza tauyari kuwa wewe umekufa dunia.
Nilipatwa na uchungu sana kumbe hii ndio sababu ambayo imewafanya hata kuiba kila kitu hapa nyumbani kwangu. ‘ndio kwa kuwa hapakuwa na msimamizi wa hizo mali zako kijana’. Nilisimama na nikawa na maamuzi yungu mimi mwenyewe kichwani mwangu.
Mjumbe nakuambia hivi kuanzia sasa lolote nitakalofanya msije kunilaumu, khaaah! Toka hapa kijana mfamaji haishi kutapatapa, jeuri hiyo ndio ambayo ilimponza ndugu yako Kibona’…….

TUKUTANE TOLEO LIJALO



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

https://play.google.com/store/apps/details?id=chumba.cha.wakubwa